Elections 2010 CONFIRMED: Getrude Mongela aanguka Ukerewe

Vijana ccm wapo lakini kwenye kura za maoni hucheza rafu sana hawa wazee ili wapite sasa chadema watawaondoa kwa kasi wasiyoitegemea. Mama mongela nimemsikia tangu nazaliwa dah pipooooooooooooooooooooooooooooz
 
CHADEMA VEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMAAAAAAAAA!! Hongera wakerewe mmefanya Vema!:yield:
 
s-junior
safi sana huyu mama alikuwa mkorofi sana na hata hamna alichofanya ukerewe,pia kwa jinsi madiwani wa chadema walivyoongoza ukerewe zaidi ya nusu na sasa ukiritimba wa mkurugenzi ukerewe sasa utajulikana.Pia watumishi wa ukerewe walikuwa wakinyanyasika sana sababu ya uongozi wa ukerewe unaofanyia kazi majungu.saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi
 
nadhani bunge la safari hii litapata challanges nyingi sana coz upinzani wapo wengi
 
...Confirmed through TBC. Getrude Mongela meanguka tena kwa tofauti kubwa sana inayotia aibu kwa mbuyu kama yeye! Sorry namba zilipita haraka kwenye screen zikuweza kuzidaka lakini ni zaidi ya nusu.
 
big up wana UK huyu mama HAFAI.. CHADEMA mpo juu msiogope kitu endeleeni kuwaburuza hao wanaojiita vigogo wa kifisadi.
 
...Confirmed through TBC. Getrude Mongela meanguka tena kwa tofauti kubwa sana inayotia aibu kwa mbuyu kama yeye! Sorry namba zilipita haraka kwenye screen zikuweza kuzidaka lakini ni zaidi ya nusu.

Safi sana wana ukerewe kwa kuondoa mbuyu. Chadema Big up!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…