Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA


Watu hawajafikiria kwenye hyo 50mil wakumbuke kuna waliowapa huo mchongo ambae ni Wema na Steve nyerere na wote lazma wapate mgao 10% hiyo watakayo baki nayo itatosha kujenga nyumba ya aina gani? stress tu za maisha na tamaa! hapo watanunua mark x itakayo baki ni kwena kuweka heshima club na ya petrol hela inaisha!
 
UKAWA tusisahau akina mama ambao ni kundi kubwa.Wengi hawajasoma na wanapenda sana bongo movie na wala wao huwa hawatafakari kwa kina.So wasipopanga mpango madhubuti jinsi ya kuteka fikra za hao kina mama na wanawake itakua shida 25/october.
Penye kadhia penyeza rupia....
 


Hao wengi wao sio wapiga kura
 

Ndio maana Aunt Ezekiel kutwa kuchwa anashinda Kwenye mtandao wa Twitter, akaunt yenyewe kafungua juzi
 
kaondoka Dr hakuna madhara itakuwa hao
 
na tutaendelea kutoa hela kadri tuwezavyo,nyie wavuta bangi shida sana kunya anye kuku,akinya bata.........jiandaeni na hoja ya kuibiwa kura sasa

We umepata ngapi mkuu wenzio wananunuliwa kwa 50m wewe je
 
Hakika hiyo pesa wahakikishe wanaitumia effectively maana ndo malipo ya movie zao mpaka na zijazo!
 
yani mm nikipewa 20m napiga kura na ukoo wangu wote ccm bila ubishi kiroho safi
 

wewe ndo umepungua
 

Maamuzi sahihi ni kuipumzisha ccm(chanzo cha matatizo) ikajifunze na iwe na nidhamu.
 
Mimi kwa sasa naomba ccm waniletee wizkid au burna boy mana hawa wasanii wakina diamond , alikiba na wengineo wa bongo movie tayar tumewamaliza kuwaona kwenye show zao za ccm na hakuna mpya tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…