Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

Hizi pesa zinazochezewa si zingetumika kujenga maabara na kuacha kuwabana maskini wasio na kipato? Hivi madaktari wa internship wamelipwa au pesa yao ndo inachezewa? Na bado tutasikia mengi. Zile bilioni 150 za kuiangusha ukawa imetumika bilioni 20. Kweli hawa wanaotafuta madaraka kwa pesa wanaendelea kutufaa? Si ndo baba wa taifa alikataa? Jamani tuwakatae kwenye sanduku la kura.
 

Bora fisadi mmoja kuliko genge la mafisadi.

Bora ukawa kuliko ccm.
 
Mwaka huu mnashika shika kila sehemu angalau mtoke... Lakini wapi. Aunty na ray pale mlichemka na bado mnaendelea kuchemka .....
 
Hizi ni salamu tu, za pongezi kwa huyu Raisi wa bongo flavour na muwakilishi wa Taifa la Tanzania, aliyetunukiwa kuwa NEMBO YA TAIFA mwaka huu mwanzoni, hakika anazidi kutuweka vifua mbele kwa juhudi anazozifanya na mafanikio yake..

Wiki hii amezidi kujiwekea rekodi zake kwa vitu viwili muhimu

(1) KUZIDI KUONGOZA CHART KUBWA ZA MUZIKI AFRIKA NZIMA
Huku akiendelea kuwapiga mieleka mahasimu wake Davido, wizkid ameendelea kuwakimbiza bila kuwaachia nafasi na kuweka rekodi zake kwa wimbo wa nana kuongoza MTV BASE mwezi mzimaaaa yaani wiki nne, na bado ipo nafasi ya kwanza, hii inamaana katika miezi 12 ya mwaka 2015 mwezi wa nane hadi wa tisa ni wa diamond na anazidi kutikisa vilivyoo!!!

Kwa upande wa wanamuziki wa Tanzania ambao wanaomba hata siku moja video zao zije zichezwe kituo kikubwa hiki barani Afrika kama bele9, hemed phd, alikiba, richi mavoko anawafundisha kuwa wakazane sio ije ichezwe tu bali iingie chart za Afrika na kuongoza kama alivyofanya Joh makini ambapo video yake ya Nusu nusu ilifanikiwa kuongoza kwa wiki moja..

(2) AZIDI KUJIZOLEA TUZO ZA KIMATAIFA
Leo Diamond platnumz aka Baba Tiffah amepokea tuzo zake mbili za kimataifa kutoka Nchini Marekani, Loss Angeles NAFCA kama msanii anaependwa zaidi barani Africa na wimbo unaopendwa zaidi barani africa 'Nana' kwa mwaka 2015 akiwapiga mieleka mbali saana psquare, wizkid, tiwa savage, fally ipupa wakiwa baadhi tu ya waliokuwa wanashindanishwa

Kwa hili anazidi kujiwekea rekodi ya msanii mwenye tuzo nyingi zaidi za kimataifa East Africa.
 

Dr Cassava?
 
wakati wanakuja Chadema mliwanunua shilingi ngapi isije kuwa tu mmezidiwa day?
 
Mimi sichagui ccm namchagua makufuli ndio atake nifanyia kazi maana naona majibu ya wengi eti tunataka kuingoa ccm hizo ni chuki za wa kaskazini sitaki kusikia mngeniambia tunataka kiongozi mahiri tena sio wasataafu chama chenu cha mtei kaeni nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…