Sijawahi kuona jamaa hovyo kama huyu. Hawa ndio wauzaji wa unga namba moja pale kinondoni. Amepita kwa ushabiki tu lakini huyu jamaa ni ziro kabisa. Jimbo la kinodnoni na Ilala ni majimbo ambayo ni muhimu sana kwa taifa letu. Haya ndio taswira nzima ya nchi. Kindononi na Ilala ndio majimbo yenye wapiga kura walioelimika na wenye taarifa zaidi lakini ndio wakwanza kwa kuchagua wawakilishi wabovu kuliko majimbo mengine.
Anyway, hainishangazi manake wajinga ndio waliwao...! Afadhali jimbo langu halikuichagua CCM wala hatuna uwakilishi wao wa aina yoyote...!