Elections 2010 CONFIRMED: Iringa mjini CHADEMA (Peter Msigwa) yatwaa ubunge

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Kwa masikitiko from mjengwa blog...
 
WELL ASIKITIKE KIVYAKE NA KIMPANGO WAKE SISI TUNAENDELEA :yield::yield::yield::yield:CHADEMA
 
he he he!
wiki hii inaweza kuwa nzuri sana kwangu aisee
 
Hivi viblogu UCHWARA vyote - Uturn, Mjengwa, Michuzi etc vyooote vinafadhiliwa na CCM. Well, wawe macho sasa. Kama kazi yao ni kulamba miguu ya chama tawala, waje sasa waanze kulamba miguu ya CHADEMA.
 
he he he!
wiki hii inaweza kuwa nzuri sana kwangu aisee

Aisee nafanya kazi mpaka Alhamisi tu. Ijumaa nitakuwa OFF tayari kwa kulipa kodi kupitia TBL....kwani sasa nina uhakika kodi yangu haitachakachuriwa !
 
Iringa nawapongeza sana ila bila wamefanya technical error ya kutunyima halmashauri. Na mh. Mch. Peter Msigwa karibu mjengoni
 
this is a pink monday...not a blue one.hongera chadema
 
Zamani nilimheshimu huyu dogo!lakini sasa mh!ama kweli njaa mbaya ,USHINDI UNAKUJA@
 
Iringa nawapongeza sana ila bila wamefanya technical error ya kutunyima halmashauri. Na mh. Mch. Peter Msigwa karibu mjengoni

Iringa ni CCM damu. (Majid Mjengwa et la...). Lile lilikuwa ni jimbo la Mwakalebela. Baada ya mazee mbumbumbu ya CCM kudhani wananchi ni wa kuburuzwa tu na kumtosa Mwakalebela, wananchi sasa wameamua kupiga kura za hasira.

Inatosha sana tu. Mchungaji atawabana kimtindo wasilete matumizi ya ajabu
 
this is a pink monday...not a blue one.hongera chadema
Uzuri wa kula kwa macho ni kwamba huwezi nyimwa


tatizo linakujaje........
''siku ile'' THE KING hakufanikiwa hata kula kwa macho:doh:
 
Big up SANA MY UNCLES AND SHANGAZIS! Mmnenifanya niruke kwa furaha! BIG UP SANA WANA IRINGA MJINI....................

.Mungu Mwenyezi awabariki kwa uchaguzi wenu na busara na utulivu mlioonyesha Watanzania wote!

Tanzania ni yetu sote!

Hongereni
 
Ndio ajue kwamba Chadema wako vere searious ,hakuna ubabaishaji
 
Good ' they must experience the bitter side of politics as well!
May the voice of people reign in the name of Allah!

They deserve it for the time they have been in power enough is enough
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…