Elections 2010 CONFIRMED: Iringa mjini CHADEMA (Peter Msigwa) yatwaa ubunge

mwakalebela anajiponza na kili ss hv na mziki mnene.
 
Sasa kwa nini CCM wasikubali huko kwingine ili waendeleze amani??
 
Hongera Iringa mjini kwa umamuzi wa busara. CHADEMA Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
16,000+ Monica Mbega- CCM
17,000+ Peter Msigwa CHADEMA

Source: Chanel10
 
Habari njema sana hiyo. kazi nzuri wapendwa kutujuza kila kinachojili ndugu zenu.
 
Imetangazwa na msimamizi wa Uchaguzi?
 
Mbona matokeo kama hayako sawa

matokeo hayaweze kuwa na related numbers mfano 16000 na 17000
 
Ndiyo msimamizi katangazi.... Rasmi chadema imepata diwani mmoja tuu, wengine wote CCM lakini imezoa kiti cha bunge na Dr Slaa amempita kikwete kwa mbali sana
 
Nina wasi wasi na izo figure hasa hayo maelfu au ndo makadilio
 
you mean the kilimanjaro rc, monica mbega amefanywa mbaya na chadema?? Very good.
naomba nitajie jina la huyo mbunge mteule wa chadema aliyemvuruga huyo mwanamke aliyepewa nafasi kwa upeneleo.
 
Ni Kweli, kwaheri Monika Kazi yako si Auditor nenda kafanye kazi zako dada Agu
 
CHADEMA woyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!Watanzania juu juu juu zaidi sasa kidogo tunaanza kuelewa kuhusu demokrasia,huu ni mwanzo tu tukutane 2015,tuitengeneze tanzania yetu jinsi tunavyotaka iwe,Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee CHADEMA igweeeeeeeeeeeeee
 
16,000 Monica Mbega- CCM
17,000 Peter Msigwa CHADEMA
Source
Chanel10

Heeeeee! Hapa imekuwaje mpaka CCM washindwe kuchakachua maana tofauti ya kura 1000 ni rahisi sana kuchakachua. Au ndo wamechakachua hadi wakaishia hapo? Maana najua Monica Mbega is like Batilda Buriani. Yuko beneti wa wakuu ndo kisa hata cha kumwondoa Mwakalebela na kumpa yeye.
 
Sasa kwa nini CCM wasikubali huko kwingine ili waendeleze amani??

Weeeeeeeeeeee unawafahamu wahehe wewe!!? Hawaongei wao ni action tu. Kujimaliza sio shida kwao vivyohivyo kuondoa kama unasumbua bila sababu za msingi nayo sio shida. Ni zaidi ya Wakurya. Sema mfumo wao wa maisha ni underground sana (HAVUMI LAKINI WAPOO).
 
Hongeraaaa sana Mch Msigwa, HONGERA CHADEMAAAAAAAAAA
 
Nimegundua town centre zote Chadema inaweza shinda kama si wizi wa ccm...
1.IRINGA MJINI-CHADEMA
2.MBEYA MJINI-CHADEMA
3.TARIME MJINI-CHADEMA ccm wameharibu hali ya hewa hapa
4.MOSHI MJINI-CHADEMA
5.ARUSHA MJINI-CHADEMA ccm wmeharibu pia
6.MWANZA NYAMAGANA-CHADEMA ccm wameharibu
.
.
.ect ect ect.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…