Rugemeleza
JF-Expert Member
- Oct 26, 2009
- 668
- 136
Jimbo la Mbeya Mjini - UBUNGE: Joseph Mbilinyi (CHADEMA) 46,411 Benson Mpesya (CCM) 24,327. Nguvu ya Umma Imeongea.
Haya yametoka kutangazwa na Tume Mby
Hongera Sugu People's Power...
Nakaaya Sumari Upo hapo?
Du huyu Mbilinyi ni kama amem-double Mpesya...kazi kweli kweli mwaka huu!.
Safi sana nadhani na Dr. Slaa atakuwa amepata kura kama hizo au zaidi.
Acheni uzembe, sasa huyu zero anaenda kufanyanini bungeni au kwakua ni mkristo? Waislam mnataka wasemaje