Elections 2010 CONFIRMED: Kapuya ashinda Urambo Magharibi

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
ITV sasa hivi waonyesha Prof. kapuya kidedea urambo Magharibi na watu wawili wamekufa wakisherhekea ushindi huko..................
 
acha uongo ww matokeo hayajatangazwa hapo....alijiwa kutoka na vifo vya hao watu
 
Matokeo bado hayajatangazwa. Acha kuposha hata mimi hapa nime tune itv.
 
ITV sasa hivi waonyesha Prof. kapuya kidedea urambo Magharibi na watu wawili wamekufa wakisherhekea ushindi huko..................

Sawa tu..............

As long as Masha and Burian are NO MORE

Angalizo: Wanyamwez siyo wasukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…