Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwangu mimi ushindi wa chama chochote kile cha ushindani ni bora kabisa kuliko jimbo kuangukia kwa CCM, ila ni wasiwasi sana na kile ambacho Mrema atafanya kwani hivi sasa ni kibaraka wa Kikwete na CCM.Habari kutoka jikoni kabisa jimboni Kasulu mjini ni hivi...
NCCR Mageuzi: 15,299 (Machali Moses)
CCM:10,849 (Neka Raphael)
CHADEMA: 6,583 (Ismail Luyagaza)
Kasulu VIJIJINI CCM chali pia, kachukua NCCR Mageuzi. Data baadae
Kama ni kweli basi hizi ni habari mzuri kwa JK maana ushindi wa Chadema ndio unaompa shikeshike JK sio ushindi wa CUF au NCCR...ndio mana tukasema hadi wapinzani watakapo ungana CCM bado itakuwa DUME.