Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

breaking news
they have just announcd
Chadema with Lema have won
Official and confirmed as of now
 
hii ni kweli?

Sijui bwana. Maana inaelekea kuna majimbo CCM kuyaachia wanaona aibu kama vile kumtokea mama mkwe. Hawakujua hali ya mambo ilivyo. Kama watu wasingelikesha kulinda kura, kuna watu hawana dini wangeziiba.
 
hongera kijana ss kawawakilishe watu vizuri ndani ya nyumba.
 
Iringa mjini chadema hoyeeeeee jamaaaaa pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kuna majimbo ccm hata walete ubishi ukweli unabaki pale pale.
 
Kwa habari za uhakika toka watu walioko manispaa arusha...Chadema wailiza siCM
 
Naona umesahau hata kujitambulisha. Karibu mkuu umekuja na habari njema!
 
Jamani ni kweli, nimepata taarifa kutoka kwa mama watoto yuko Arusha. Safi sanaaa Viva Chadema.
 
ha haahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. njama zao zimeshindwa CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeee, People's Power:smile-big::smile-big: honger akaka LEMA katuwakilishe vyema baba tunakuamini huko mjengoni kakakamue
 
Matokeo yametolewa na NEC muda huu
ni kweli Mrema ameshinda Arusha Star TV imetangaza dakika tano zilizopita ila kulikuwa na kelele sana. Mrema alikuwapo na akatoa hotuba fupi kuwashukuru waliompigia kura.

hiyo ndiyo demokrasia
 

Selemani, and who should we blame for that?

I, for one, would blame first and foremost your most noble CCM SG Makamba kwa kuzuia wana-CCM kushiriki "intavyuu" ambazo zingewapa wananchi nafasi ya kuchagua weledi au uhuni.

Lema na wenzake showed up at the "intavyuu" (mdahalo), Batilda of CCM didn't.

Nakubaliana na wewe, ideological na ushabiki wa Makamba got in the way of common sense.
 
Ametangazwa dakika si nyingi.

Source: Star Tv

asante mkuu...sasa amani imenijia....toka asubuhi sijaweza kula nikisubiri kamanda wangu atangazwe....wewe ndio umenipa matumaini ya uhakika...heshima mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…