Elections 2010 CONFIRMED: Lindi Mjini - Abdulazizi ameenda na maji, CUF wachukua jimbo

Elections 2010 CONFIRMED: Lindi Mjini - Abdulazizi ameenda na maji, CUF wachukua jimbo

Kunta Kinte

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Posts
3,690
Reaction score
1,288
Mbunge wa Lindi mjini mheshimiwa mkuu wa Mkoa ameshindwa vibaya na mgombea wa CUF hivi sasa watu wapo mitaani
 
Nawapa hongera sana watu wa lindi kwa kuchagua mabadiliko
 
Uyu mbabe heri akapumzike na aungane na mama Mbega
 
huyu jamaa si ndiye aliyesema kuwa maalbino wana ukosefu wa vitamin C?
naona wana Lindi wamemuadhibu.
Viva Opposition
 
Mbunge wa Lindi mjini mheshimiwa mkuu wa Mkoa ameshindwa vibaya na mgombea wa CUF hivi sasa watu wapo mitaani
Hivi unajua watu hawampendi huyu jamaa, anatukanaga Zeru Zeru wa Lindi. Siku wananchi walivyoomba awaombee radhi, jama akamtuma CCM advisor. JAMANI kajichimbia kaburi...:crutch:
 
Sikiliza! Kilio kinasikika kutoka babuloni! Kishindo cha maangamizi makubwa kutoka nchi ya wakaldayo! Maana mimi Mwenyezi-Mungu naingamiza Babuloni, na kuikomesha kelele yake kubwa. Adui anaunguruma kama mawimbi ya maji mengi, sauti ya kishindo chako inaongezeka. Naam, mwangamizi anaijia Babuloni; askari wake wametekwa, pinde zao zimevunjwavunjwa. Mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu mwenye kuadhibu, hakika mimi nitalipiza kisasi kamili.
 
Back
Top Bottom