uvivumwiko
Member
- Mar 22, 2010
- 20
- 1
Wagombea wa Ubunge CHADEMA Maswa Mashariki (UDP443, CUF 485, CCM1,7014, CHADEMA 17,075) na Maswa Magaharibi UDP 381, CUF 1845, CCM12,135, CHADEMA 17,459; Shibuda), wameshinda.
Source Channel 10
Wagombea wa Ubunge CHADEMA Maswa Mashariki (UDP443, CUF 485, CCM1,7014, CHADEMA 17,075) na Maswa Magaharibi UDP 381, CUF 1845, CCM12,135, CHADEMA 17,459; Shibuda), wameshinda.
Source Channel 10
Ahsante mkuu naona mambo yanaenda kama tunavyotaka, Mwanza Nyamagana tunataka matokeo.
Maswa Magharibi mgombea mshindi wa CHADEMA anaitwa nani?
Kosa tulilofanya ni kutomchuja yule kilaza ambaye alipoingia ubunge wala hakujua yupo pale kwa ajili gani.km kweli itakuwa poa sana..........jamani....ila tarime wametuangusha vibaya