Elections 2010 CONFIRMED: Mbozi Mashariki - CHADEMA washinda ubunge

Mjengoni paktauwa hapatoshi.

Lazima patoshe, pasipotosha seats zitaongezwa.

Wa kumfunga paka kengele kapatikana na tutaraji kuona mabadiliko ya kweli, hasa kwenye budgets, upitishwaji wa miswada na kubadili katiba.
 
In two words!! Wamebana Wameachia :israel::israel::israel::israel:
 
Jamani, ameshinda kwa kura ngapi?? Tunataka baadaye tucheck kiasi gani kinachakachuliwa kwenye urais!!
 
Acheni kutuchanganya which is which kati ya magharibi na mashariki?
 
Wera weraaaaaaaaaaa asante wana mbozi mmetupa raha wenzenu. Mmetumia haki yenu ya kimsingi. Mmeleta mabadiliko ya kweli. Tunakwenda kuikomboa nchi yetu karibuni.
Weraaaaaaaaaaaaaaaa Chademaaaaaaaaaaaaaaa pipoziiiii pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni habari njema sana, lakini weka tangibles please!
Ikiwa hivi tunakosa confidence kusema lolote.
 
siyame ilikuwa ngumu sana kumshinda, ndiye aliyemwangusha simpasa aliyemtikisa hata IGP mstaafu mahita
 
Good news, sasa sijui wanosema upinzani ni viti 29 kama matokeo ya sasa yamejumuishwa ama vp
 
Good news...even if CCM do not want people's power.................
 
QUOTE=bulunga;1212116]source rfa sas hivi[/QUOTE]

You may be wright or wrong. In order to post something in JF, better put your self in the shoes of the readers. Do not be so imotional that you can not have tangible information. Watu wana hamu ya kujua kura za mbunge wa Chama fulani na fulani, kisha Presida...pls mnaoleta habari...
 
Halali41,258 Waliopiga83,470 Zilizoharibika1539
1​
MBOZI MAGHARIBIDR LUCAS SIAMECCM20,203
2​
DAVID SILINDECHADEMA20,835 Halali41,258 Waliopiga42,357 Zilizoharibika1099
 
believe me t was brief the netwk of the reporter was breakingup, then wakajiunga kumsilkiliza makame dar election results, bottom line chadema wameshinda:smile-big:
 
it sounds to be nice,but data muhimu zaidi wakuu me sitaki kuhesabu tetesi
 
hata kama yupo ccm Zambi ni mpiganaji mzuri sana na bila shaka kasi yake itaongezeka baada ya kushuhudia wenzie waliokuwa wamelala wakipukutika kama maua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…