Nimefurahi sana kusikia kijana Silinde ameshinda. Simfahamu lakini nimependa sifa nilizosikia juu yake. Nimtetezi wa kweli. Hongera Silinde. Hongera Chadema.
Nampunga hongera sana kijana Silinde wa CHADEMA, kijana tulikua naye pale UDSM , alikuwa mtetea haki mpaka alisimamishwa chuo....katetee haki za wanambozi...Mungu akulinde ndugu
Safi sana hii Makulilo. Tunahitahitaji vijana wenye vision na moyo wa kujituma na kuthubutu kama huyu. Vijana wenye ujasiri wa kutetea haki bila kuogopa utashi wala vitisho vya watawala.