Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Afisa Habari unakuja na habari nusu nusu,shameeeWatu wa Soka,
Sisi ni wasikivu.
Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo!
Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa MUBASHARA kwenye televisheni ya Azam.
Ni kesho 04/08/2022.
Minister of finance and planningNani yuko nyuma ya hii timu
Minister for and not Minister ofMinister of finance and planning
Nani yuko nyuma ya hii timu