For her own good na kama anataka kuolewa mapema zaidi, hapaswi kuhama.
Kiukweli inaleta heshima kumchukua binti kwa wazazi wake kuliko umkute yuko full furnished geto kwake.
Ndo mwanzo wa dume zima kuambiwa unikome kwani hukunikuta nalala na njaa,,wanawake wengi wa namna hiyo ni arongant sana.
ndo maana mada inasema hautakuwa wife material!
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
Kama wazazi wake wanaishi chumba kimoja aendelee kuvumilia kelele za mama yake akiwa mchezoni na babaye?
wacha mawazo mgando!sijaona ni kwa nini asipange kama anawaza kujitegemea.huyo ndio mwanamke wa kuoa kwani si tegemezi kwa saana!
Mkaka ambaye ashaenda age halafu bado anakula na kulala kwao sio husband material.
Kama wazazi wake wanaishi chumba kimoja aendelee kuvumilia kelele za mama yake akiwa mchezoni na babaye?
Kama atakua anaakili, atawashauri wazazi wake watafute nyumba nyingine itakayo waaccomodate wote,, na sio kwenda kutafuta chumba cha self na kulipia 2mil kwa mwaka.
Au kama ni nyumba ya wazazi, lazma kutakua na kanafasi ka kujenga chumba pembeni. Wengi wenu mnaona bora wazazi wapangishe wapangaji kuliko yeye kuishi mle.
Ungekaa kwa wazazi afu unafuata maadili yote ya kurudi mapema,kuhudhuria misibani,jumuiani,harusini nk ungekua umeishaolewa zamaaani.
Msichana ambaye hajaolewa na ameamua kupanga nyumba ya kuishi huku anaishi mji mmoja na wazazi au walezi wake, sio wife material.
Swali la kujiuliza kwanini ameamua kupanga??
Duh,naheshimu mawazo yako lakini umelitumia neno CONFIRMED vibaya,Hivi Mungu wangu wanaume wakiangalia na hili tutaolewa kweli?there should be standards za kumu ideentify wife material na asiye si kila kitu tu ukifukiria then unaenda nacho and please usi-generalize coz zipo sababu nyingi zinazotuhamisha home.:redfaces:
huyo anakiherehere kama alivyo sema rais wetu
ndoa anapanga mungu baba na kama hukupangiwa kuolewa utasota hm mpaka ushangae, na hv kukaa nyumbani na wazazi mchezo nn hicho chumba pengine unashare na wadogo zako na ndugu wengine ukirudi unakuta kila ki2 kimevurugwa na mambo mengine mengi 2 yanayokera akha mwenzangu na nisiolewe 2