Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Atakuja hapa na tai yake muda si mrefu..bwahahahaha......kama namuona FMES alivyonuna.....
bugando VIP nyambafNasikia Masha yupo hoi kwa presha 🙂
Kuna any updates za Ilemela? au wameshachakachua?
Toa figure mkuu!! data pls
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?
KURA:
CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883
Figure si hizo hapo jamaa kaweka au unataka zipi tena?
KURA:
CHADEMA (Wenje): 38,171
CCM (Masha): 27,883