Hansy wa East JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 447 Reaction score 231 Aug 30, 2012 #1 Wanajamvi naomba kuuliza hivi kama umekua admitted katika Chuo chochote kile ni lazima u-confirm kwenye akaunti yako ya TCU na kama usipo confirm ni nini kinaweza tokea? Naomba msaada wa maelezo tafadhali.
Wanajamvi naomba kuuliza hivi kama umekua admitted katika Chuo chochote kile ni lazima u-confirm kwenye akaunti yako ya TCU na kama usipo confirm ni nini kinaweza tokea? Naomba msaada wa maelezo tafadhali.