kijembeee
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 409
- 105
tofauti kati ya BBA-MKTNG,BCOM MKTNG na MKTNG ni ipi?
Pia ukiacha kua marketin oficer/manager unaeza kufanya kaz gan nyingne?
Kwa mfano ukisoma BBA-MKTNG sasa unakua busines administrator or unakua marketer?
is marketing marketable in TZ?
pliz wenye indepth knowledge naomba wansaidie