Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,215
- 1,594
Nikusaidie kdg , Kinshasa ndio sehemu inayoongea kifaransa zaidi AfricaSio wote wanaongea kikongo wengi huongea kiswahili kilicho changanyana na kifaransa ila wengi kifaransa hawajui labda waliopita shule na ni baadhi yao
Nakubari kaka uko sahihi 🥂Nikusaidie kdg , Kinshasa ndio sehemu inayoongea kifaransa zaidi Africa
Kiswahil congo kinaongelewa zaidi Mashariki na Katanga
Asante sanaKifaransa ni moja ya lugha rasmi kule Ubelgiji na huku DR Congo waliileta wenyewe.
Kingine wakongo wanaipenda sana Ufaransa/Paris hivyo wamejazana huko na wamekuwa wakirudi na kifaransa tangu enzi za ukoloni. Wengi wao walisoma Ufaransa badala ya Ubelgiji.
Binafsi sijui. Kama unajua weka ili tuzidi kuelemika Kwa kugawana maarifa.Unajua ubeligiji wanaonge lugha gani kwa % ngapi?