Congo DR: Ni upi mkakati wa Tshisekedi kukabiliana na m23?

Congo DR: Ni upi mkakati wa Tshisekedi kukabiliana na m23?

Mende mdudu

Senior Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
111
Reaction score
223
Niende moja kwa moja kwenye mada dunia ya leo ya maendeleo ya sayansi na teknolojia haiitaji tu kuq na vifaa bora vya kupigana na adui yako ukizingatia ata m23 piq wamewekeza kwenye ubora wa vifaa na silaha zao.

Vita vya sasa vina itaji ujasusi wa hali ya juu kukabiliana na adui ukitegemea tu population yako, au uwezo wa full combat kwenye battle field ni ngumu kushinda.

Soma. Nilimshauri tishekedii kabla waasi hawaja teka goma mwezi wa kumi 2024.


Bila kujua mipango wa adui yako ubora , uzaifu na mipango yake ni ngumu kushinda vita walicho fanikiwa m23 ni kuwa na taarifa za kutosha za serikali ya congo na kukosekana kwa taarifa za kundi ilo la waasi,

Screenmemo_2025-02-03-11-25-27.png

Katika picha ni kiongozi wa waasi Cornell Nangaa kiongozi wa m23 akishiriki kufanya usafi katikati ya mji wa Goma.

Kujionesha wazi wazi kwa viongozi hau inatuma ujumbe wa uzaifu wa intelgence ya jeshi la kongo kwa kushidwa kupandikiza majasusi katika kikundi icho ilipaswa wajue ujio wa kiongozi uyo mahali apo siku kabla wawe na wanajeshi wao wa siri katika mji uo ulio tekwa na waasi kama plan A imefeli ya kupambana moja kwa moja bora waende na plan B ku assasinate viongozi wa makundi ayo kwa kua na sleeper agent goma (hit men) wenye lesence to kill with snaiper raiffle , na pia kutambua kambi kuu za viongoz ao katika mji wa goma.
Ni kama waaai wapo serious kuliko yeye

 

Attachments

  • Screenmemo_2025-02-03-11-25-27.png
    Screenmemo_2025-02-03-11-25-27.png
    688.2 KB · Views: 4
Hiyo heading imepunguza credibility ya mada yako pakubwa. First impression matters a lot!
 
Back
Top Bottom