Congo Dust

Congo Dust

Hosee Miguel

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
59
Reaction score
38
Wakuu nawasalimu,

Kuna hiki kitu kinaitwa "Vumbi la Kongo" limeshamiri sana mjini daslam na mikoani as well. Sasa kina Jamaa yangu sijui ni kutaka kukomoa katumia hii kitu lakini sasa hivi analalamika hayupo sawa kiaina na anadhani ni hii kitu. Kwamba nguvu alizokua anaambiwa na supplier wake kwamba atabaki natural na nguvu zake za awali anaona kama sivyo.

Mdau/Wadau mwenye/wenye uzoefu na labda side effect ya matumizi ya mitishamba hii tafadhali njoo umwokoe mhanga huku pls

Pia Professional MD's your expertism is essential
 
hilo vumbi la kongo linafanya kazi kama sindano ya ganzi

yaani linauwa hisia za sehemu usika

huko kongo wenyewe zamani walikuwa wanalitumia kwenye kutahiri kienyeji yaani wanapaka then wanakata foreskin na mtu hasikii maumivu

sasa binadamu wamejifanya kujiongeza akili wanapaka kwenye dushe ili kuuwa hisia na kufanya uchelewe kumwaga

sasa fikiria kila siku unajichoma ganzi kwenye dushe matokeo yake ni nini kama sio kulipotezea hisia kabisa
 
Kumbe insta babe
 
Kumbe insta babe
yeah insta babe.... ndio hivyo watu wamebadirisha matumizi 😂😂😂

sasa najiuliza raha ya mgegedo ipo wapi kama umeshajipaka maganzi na hausikii chochote kwenye zile nje ndani ndani nje

na ukikosea tu ukipaka jingi humwagi sasa raha ipo wapi

watu wanajiuwa insta babe....

nasikia mabraza waliokuwa madereva wa malori kwenda kongo ambao ndio walilileta hili vumbi huku tz wengi wao sasa hivi hawana nguvu za kiume.. madushe yameathirika na ganzi hayasimami hata kwa booster 😂
 
Aiseeee
Kwahiyo dyudyu haisimami kabisa
Kama hivyo pole yao sana
yeah insta babe.... ndio hivyo watu wamebadirisha matumizi [emoji23][emoji23][emoji23]

sasa najiuliza raha ya mgegedo ipo wapi kama umeshajipaka maganzi na hausikii chochote kwenye zile nje ndani ndani nje

na ukikosea tu ukipaka jingi humwagi sasa raha ipo wapi

watu wanajiuwa insta babe....

nasikia mabraza waliokuwa madereva wa malori kwenda kongo ambao ndio walilileta hili vumbi huku tz wengi wao sasa hivi hawana nguvu za kiume.. madushe yameathirika na ganzi hayasimami hata kwa booster [emoji23]
 
Aiseeee
Kwahiyo dyudyu haisimami kabisa
Kama hivyo pole yao sana
noma sana insta babe....

hayo madude yana madhara sana

siunaona mleta mada kasema jamaa now nguvu hazipo kama awali sasa hapo akiendelea kutumia zinaondoka kabisa
 
noma sana insta babe....

hayo madude yana madhara sana

siunaona mleta mada kasema jamaa now nguvu hazipo kama awali sasa hapo akiendelea kutumia zinaondoka kabisa

Ni kweli Jamaa anasema awali alikua anajiweza freshi tu sema ni ile kutaka kuongeza anachokiita ufanisi. Na anasema that thing ametumia si muda mrefu but anaona tofauti...Japo anadai the Vumbi ilimpa heshima viwanjani!
 
noma sana insta babe....

hayo madude yana madhara sana

siunaona mleta mada kasema jamaa now nguvu hazipo kama awali sasa hapo akiendelea kutumia zinaondoka kabisa
Huyo kama athumani jicho moja kagoma kuamka hapo hakuna namna itabidi awe mzibuliwa ama mtatuliwa marinda tu
 
VUMBI LA CONGO KASONGO ,PUTURUU,MUNDENDE ,HESHIMA YA NDOA,MWANA UKOME,KIZIZI CHA MKUYATI
 
Ni kweli Jamaa anasema awali alikua anajiweza freshi tu sema ni ile kutaka kuongeza anachokiita ufanisi. Na anasema that thing ametumia si muda mrefu but anaona tofauti...Japo anadai the Vumbi ilimpa heshima viwanjani!
kwa mademu wanaohisi mapenzi ni kupigwa dushe mpaka papuchi iwe yamoto watakupa heshima

maana hyo kitu inaenda kuuwa hisia za ngozi ya dushe so unaweza piga hata masaa bila kumwaga

ila madhara yake ndio hayoooo

mshauri aacha kutumia... aanze kula matunda... vyakula vya protein..mazoez na maji kwa wingi
 
Back
Top Bottom