ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Uliyoandika yote hapa ni UONGO.Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa Berlin..
Tazama congo ilikuwa under Belgium na hapo hapo makao makuu ya umoja wa ulaya yapo Belgium..madini ya congo ndo yalitumika kwenye vita kuu ya dunia.Congo ndo kila kitu na hata gorilla mnyama mwenye uwezo karibia ya binadamu anapatikana congo.
Utazaliwa utakufa mgogoro wa Congo utauacha maana ni mgogoro wa kidunia ule.
Poleni sana wa congo man
Tunaomba ukweli wako mkuuUliyoandika yote hapa ni UONGO.
Kuna nchi zenye rasilimali nyingi zaidi duniani kuishinda Congo mfano Russia, Australia, Canada, Marekani, BrazilTunaomba ukweli wako mkuu
Rudi tena alichoandika mkuu,then chakata!amesema ni nchi inayotamaniwa na mataifa makubwa kutokana na uwepo wa rasilimali zake(refer cobalt, lithium na titanium,mto Congo,misitu nk) na hajasema NI NCHI YENYE RASILIMALI NYINGI ZAIDI DUNIANIKuna nchi zenye rasilimali nyingi zaidi duniani kuishinda Congo mfano Russia, Australia, Canada, Marekani, Brazil