Jana wadau nilimuona jk akimfunika vibaya dk slaa. hasa kuzungumzia mambo ya elimu na afya.
tofauti na dk slaa. Jk alikuwa mtulivu. mwenye takwimu halisi, mwenye mchanganuo na mwenye nia nzuri ya kuinua elimu
Heko JK. ndio tegemeo la wanyonge
Funny enough kwenye concluding remarks wala hajaomba kura wala kukiombea chama chake! One might think he didn't care, lakini the fact is ni mtupu kiasi kwamba hata alisahau why he was there!
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
wauliza maswali wanapaswa kututaka radhi watz, hakuna walilouliza la maana, hawana hata haya mambo ni mengi ya kitaifa wanauliza vitu vya kitoto ndo maana watz hatuendelei kwenye nyanja mbalimbali hasa uandishi na utangazaji kutokana na waandishi kama hao wa jana.
Ndo maana Mkapa alikuwa anawaita hawa ni ''wavivu wa kufikiri''. Pia alikuwa anajiandalia hotuba zake.
Hata kama ni njaa, that was below too low.
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?