Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
kwakweli siasa ni kitu very funny... sikutegemea kama JK angesema kuna mgombea amesema anataka kumwaga damu... huu ni uzushi wa hali ya juu
Na wale ''waandishi wa habari'' hawamuulizi huyo mtu alisema ataimwagaje hiyo damu??
Mimi nilipata kusikiliza sehemu ya mwisho ya mazungumzo yake, kitu cha kwanza kilichonidistract sana ni kigugumizi. Labda sijamsikiliza sana JK hivi ni kweli anakigugumizi kikali nanmna hiyo?
Sidhani kama kesho watu watapiga kura kwa huruma. Pamoja na yote kesho ni siku ya mavuno. Tumesikia kampeni zao na ni wakati wetu sasa kuamua nani anafaa kuongoza Taifa letu.
Pamoja tutafika! Kwa msisitizo JK ameona umuhimu wa wananchi wake na nini wanataka licha ya kutoweka wazi katika mkutano wake jana! Zaidi bado ana kura yangu, kwani sitaki kuongozwa na Fisadi Kiwembe Slaa!
Kamanda! Ni mimi ambae nilikuwa na bia mkononi wakati nasoma bandiko hili.. Kesho KURA kwa JK.... patamu hapo!
well said, kama musoma, arusha, tarime, mwswa, mwanza, iringa nk... kumwaga damu haina maana mpaka mtu afe dnio iwe imemwagwakumwaga damu ni kumwaga damu tu, haijalishi umetumia panga, bunduki, au jiwe (kama maswa)
...mahojiano yalikosa bashasha hasa kutokana na "choreographed" questions plans...