Congrats to Diamond and Lady Jaydee for making Tanzanians proud

esc343

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
354
Reaction score
581
Ni kitu cha kujivunia kama both best female and best male artist east africa wametoka nchi mmoja(Tanzania). Hii ina maana we run EA kwenye sector ya music.This is what should be discussed, as tuwasaidiaje wasaani wetu wazidi kung'ara na kuanza kuvuka mipaka ya africa masharaki ili na ss siku moja besf artist atoke kwetu, soka tumeshindwa, movies ndio kabisa jamani hii tumejaliwa, lets stop hating na kuwapa courage wasanii wetu.
 
Mungu bariki Tanzania mungu wabariki iron lady kamanda jide name diamond platinum mutoto wa mbangala
 
tatizo wafu fm na sio fans
ndo maana hatufanikiwi
 
Hii ndo thread maana imewapongeza wote.Hongera nyingi ziende kwao

Kumbe jide nae kashindaaa,aache sasa ukaidi apige kazi afe na jina lake na heshima,nawapenda wotee


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Hongereni kwa kushinda ongezeni juhudi zaidi kwenye kufanya kazi ili next mchukue ya Africa
 
Kumbe jide nae kashindaaa,aache sasa ukaidi apige kazi afe na jina lake na heshima,nawapenda wotee


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨

Mtu akijitambua akasimamia principles na haki yake mnamuita MKAIDI! Kweli tunayo safari ndefu kuishi kijasiri.
 
Kumbe ndio mana Jide alitangulia zake mapema U.S.A akisema ni kula bata kumbe alifuata tuzo?hongera zake ila ndomo alivoondoka kwa mbwembwe sijui angekosa ingekuaje,hajifunzi tu?
 
Mtu akijitambua akasimamia principles na haki yake mnamuita MKAIDI! Kweli tunayo safari ndefu kuishi kijasiri.

Misimamo ip anayoisimamia kwa kutoenda kenye tuzo za kill na kupost swal kwa watu akiulza kama tuzo zmefanyika


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Habari zenu ndugu ,wakubwa na wadogo
nataka niweke sawa kuhusu utata uliozuka kuwa diamond kashindatuzo ngapi,
kwenye AFRIMMA,ameshindatuzo mbili,mwanamziki bora east afrika na number 1 rmx ikishindacollabo bora ya Africa
category iliyokuwa na ugumu kidogo kulingana na aliokuwa akishindanishwa na-
2face ft Tpain- Rainbow ( Nigeria/ United
States)
Mafikizolo ft Uhuru-- Khona ( South Africa)
Dr Sid ft Don Jazzy /Phyno/Wizkid- Surulere
remix(Nigeria)
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko
Changu’ (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat--- Touching body
( Nigeria/ Ivory Coast)
R2bees and Wizkid- Slow down ( Ghana/
Nigeria)
..kilichotokea ni makosa ya uandishikwenye website ya afrimma ambako ndiyo watu wamecopy ..
but wameahid kulekebisha,kwa ufupi diamond anarudi na tuzo mbili mkononi.
lakin nitumie nafas hii kuweka sawa kuwa,diamond kwa sasa,wasanii wakubwa wa nje wengi ndiyo wanoomba collabo yeye,sitosema mengi ila kwa uchache tu nimfano wa
mafikizolo waliomwomba diamond nakumlipia na nauri ili abaki south ili tu collabo ikamilike,piakuna iyanya ailiomba colabo (siyo bumbum) but haiyjatoka bado,kuna waghana,kuna mwanadada waje wa nigeria,hilo liliandikwa sana tu kwa wanokumbuka,all in all time wil tell,kazi zitajieleza zikitoka.Ahsanteni
 
Naombeni aliyeelewa huyu afisa habari wa ndomo kaandika nini anieleweshe please!!!
 
Naombeni aliyeelewa huyu afisa habari wa ndomo kaandika nini anieleweshe please!!!

HOD kasema hivi Diamond ameshinda tuzo 2 na website ya Afrimma hawakuweka kuwa ameshinda tuzo ya collabo na nyingne kasema wanamuziki wengi wanamuomba Diamond collabo si yeye huwaomba.
 
Nilisema mimii leo nyuzi lazma zijaee
 
Nauliza hivi. Heaven on Desert na Heaven on Earth wana jinsia sawa au tabia zao sawa au wanafikra sawa au wana undugu?

Mbona majina ya ya ke..walishirikiana kuwaza majina?
 
Last edited by a moderator:
Afisa habari huyo mie nilijua sijui uko wapi maana upo kimya sana hadi nikahisi umefukuzwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…