Congratulations To Simba Sports Club..

kijanamdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
231
Reaction score
177
Hakika Klabu ya WANANCHI YANGA kwa hiari yake Leo imeukabidhi Ubingwa wa Kandanda Tanzania Bara lea Klabu ya Simba.Yanga imeutema ubingwa huo baada ya kipigo kutoka lea Klabu ya Prison ya Mbeya.NawaombaMabingwa wapya kuendelea kusaka Pointi zilizobaki kwa KASI ile ile."This is Simba "
 
Kwa hiyo Yanga kabemendwa mapacha leo tena? si kajifungua juzi tuuu watoto wanne kazalishwa na mwarabu!

Nimekumbuka kawimbo ka mtaani tukishinda mechi kalikua hivi. "" umalaya huuu umalaya gani? umetiwa jana leo unataka tena..."" hahahaaa haka ka wimbo kaliimbwa na mashabiki leo pale Uwanja wa sokoine Mbeya.

Natania jamani matusi sipendi me nimeokoka nampenda Yesu.
 
Very sad.. yani Yanga siku hizi watu wanajisevia tu kudadekii...
Mara kala 4G, 2G cha Nguruwee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…