Connecting the Dots: na Yusuph Mushi...

He was once chairman of Tanzania Rotary Club if not Lions Club, extensions of Frequency Modulation!
 
mbona mnamuogopa Mushy? acheni danadana....mwageni mambo ya mushi msimuogope bwana

Ukiangalia TREND YOTE ya jinsi pesa za ufisadi zilivyogawanya...Utangundua kuwa ulikuwa ni mpango maalum kwani pesa zilikuwa nyingi kupindukia!

Waliojimilikisha migodi...Wakaanzisha na EPA na msururu wake ndio kama virusi!

Halafu kila mahali wakaweka wachagga na kuwaingiza humo kwenye ufisadi wao!Wengi tu!Tena pesa zenyewe zilianzia huko kwa wasilamu...Kina Iddi Simba na wamiliki wa BORA APTS,NDOVU SOAP NK!

Pesa hizo wakazi channel kwa watu ambao kisa ni wachaga tu maana hata walikuwa si watu wa ma connection kihivyo!Walizitapakaza kila mahali hadi marekani na kwingineko ulaya!

Sasa mpango wao unakuwa wazi...UDINI NA UKABILA!

Wale waliokuwa wakijuwa kuwa ccm itadaiwa kuwa ni mafisadi na huku ccm yenyewe ikiwa wazi kuwa ni chama cha waislam...Wakazipenyeza pesa za EPA kwa style ya kuchafuana na sasa ni PROPAGANDA TIME!

Tatizo bado narudia...Ni jf!

Trend ya pesa za ufisadi pamoja na kinachohubiriwa na ccm hapa unajuwa kuwa wizi wote ilikuwa ni wa kisiasa uliopangwa kimafia ili hata wale wapinzani wanaoelekea kushinda kwa hoja basi wachafuliwe!

Mfano mwingine ni hata jinsi wamekuwa wakijaribu kumchafua hata MWAKYEMBE!

Pesa walizochukuwa ni nyingi sana!Haziwezi kwisha...Na ni wazi serikali yetu inazitumia tena ili kuwaghilibu wananchi!Sidhani kama ni possible this time.

Ripoti ya EPA iko hapa...Tumeshazisoma na tunajuwa everything na ni nani wanahusika!

Wananchi naomba muelewe hili...Kwamba RIPOTI ZOTE ZIKISHAKUSOMWA...HAPO TUTAKUTA MAFISADI WENGI TU KUANZIA WAKRISTO,WAISLAM,WAHINDI,WACHAGGA,WASUKUMA,
WAMASAI NK!

Wote hao ni MAFISADI NA KAMWE WASILICHAFUE KABILA LOLOTE WALA DINI YOYOTE!

Watanzania DAINI UHURU WENU NA MTAONA MATUNDA YAKE!

TANZANIA NI NCHI TAJIRI INAYOMILIKIWA NA MAFISADI WACHACHE WA DINI TOFAUTI NA MAKABILA TOFAUTI WAKISHIRIKIANA NA MKOLONI WALIYENWUZIA NCHI!

Tunawaomba watanzania muwashurutishe wabunge wenu wadai ripoti za EPA NA MADINI NA ISSUES NYINGINE ZOTE HADI TUERUDISHIWE NCHI YETU!
 


Kama maneno haya ni kweli basi, Tanzania ni nchi ya ajabu sana kwani jamaa mwenyewe sasa ni bilionea wa a kutupwa. Nimepitia website yake na kufahamishwa kuwa alianza biashara zake mwaka 1992 muda mfupi kabla ya Mkapa kuingia madarakani. Ina maana kuwa katika kipindi cha miaka kumi cha Mkapa ndipo jamaa alipojizolea utajiri wote ule? Sasa ni nani mmiliki halisi wa Mtibwa Sugar? Kwani ziliwahi kutolewa taarifa hapa ukumbini zilizoambatanishwa na picha zilizoonyesha kuwa Mtibwa ni mali ya Mkapa.

BTW: Website yake ni hii hapa
 
Kikwete mwenywe keshawaambia wasijali kuitwa MAFISADI!
So wabunge wajuwe cha kufanya ila wasitegemee msaada kutoka kwa JK!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…