Connection between Vodacom and Corruption scandals

Rapha

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
634
Reaction score
201
Wakuu,
Katika pitapita zangu humu ndani nimekutana na post mbalimbali zinawahusisha wamiliki wa Vodacom na tuhuma mbalimbali za ufisadi, Je vyombo vyetu vya usalama (Police or PCCB) vimewahi kutoa report yoyote kuhusiana na madai haya against Vodacom?
Chini ni post mbalimbali jaribuni kuzipitia (Nimeziedit kutokana na ukubwa wake ili tupate concept)
nahitaji kujua kuna nini nyuma ya pazia la Vodacom? why always Vodacom??



MASWALI MAGUMU KWA MH. EDWARD NGOYAI LOWASA

5.Ulizipataje hisa zako unazomiliki VODACOM? Ulizinunua lini na kwa kiasi gani?


Peter Noni na Rostam - The EPA Connection
Peter Noni na Rostam ni wabia wa biashara (Vodacom). Peter Noni ni shahidi wa serikali katika kesi za EPA zinazoendelea. Alikuwa ni bosi wa kina Imani Mwakosya, Esther Komu na Bosco Kimola.


Kama kuna mwenye data zaidi aweke hapa tuweze kufahamu the true color of Vodacom
 
Kwani mmiliki wa vodacom ni nani hasa? au ni akina nani? nadhan ni vyema tungeanzia hapo.

Kama kuna mwenye data zaidi aweke hapa tuweze kufahamu the true color of Vodacom

by the way, color ya vodacom si ni red? au??:confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…