Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

Hakuna popote ambapo gesi inaweza kuishinda induction cooker kwa gharama (efficiency inaweza kuwa zaidi ya mara tatu);

Na kwa kasi gesi haiwezi kuishinda induction cooker sababu ina power kwahio ukiamua utumie 100 watts unaweza kutumia masaa nane ila ukiamua utumia full capacity (inategemea ni watts ngapi unaweza kutumia muda mchache sana)

In short kupikia gesi kunakoshinda umeme ni misinformation, kutokujua kwa watu au propaganda za wauza gesi na lobbysits wanaofaidika na kuuza gesi ya ughaibuni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…