Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.🥺🥺🥺🥺😭I will be short
nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out.
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.
nipeni connection
Nadhani kuna kiwanda cha viatu Dodoma, kinamilikiwa na Wachina.I will be short
nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out.
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.
nipeni connection. dm ipo open
Hii 1 milion ya nn?I will be short
nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out.
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.
nipeni connection. dm ipo open
Hututaki sisi weusi kwa sababu tuna akili nyeusi au?I will be short
nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out.
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.
nipeni connection. dm ipo open
Kwa hiyo ukinunua hivyo viatu kwa wachina unaenda kuwauzia wachina na wahindi tu, si ndiyo?I will be short
nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out.
sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu.
nipeni connection. dm ipo open
Hututaki........Ututaki sisi weusi kwa sababu tuna akili nyeusi au?