SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 May 8, 2013 #1 Habari wana Jf, Natafuta connection ya biashara na uwekezaja popote pale ulimwenguni. Kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane.
Habari wana Jf, Natafuta connection ya biashara na uwekezaja popote pale ulimwenguni. Kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane.
S snail JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 462 Reaction score 142 May 8, 2013 #2 SOKETI said: Habari wana Jf, Natafuta connection ya biashara na uwekezaja popote pale ulimwenguni. Kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane. Click to expand... Cjakuelewa sana, tafazali elezea kidogo naweza kua na msaada!
SOKETI said: Habari wana Jf, Natafuta connection ya biashara na uwekezaja popote pale ulimwenguni. Kwa yeyote aliye tayari tuwasiliane. Click to expand... Cjakuelewa sana, tafazali elezea kidogo naweza kua na msaada!
B Bonge JF-Expert Member Joined Aug 29, 2007 Posts 1,120 Reaction score 877 May 9, 2013 #3 Elezea zaidi unachomaanisha
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 May 9, 2013 #4 Connection, Ok Kule URUSI kwenye Jimbo la Siberia kuna wawekezaji wana hitajika katika Kuchimba Gesi, nakama unavyo jua karibia nusu ya Gesi ya Dunia iko Pale Sibariaso naweza kukonect na Makampuni ya URUSI kama unataka kwnda kuwekeza huko,
Connection, Ok Kule URUSI kwenye Jimbo la Siberia kuna wawekezaji wana hitajika katika Kuchimba Gesi, nakama unavyo jua karibia nusu ya Gesi ya Dunia iko Pale Sibariaso naweza kukonect na Makampuni ya URUSI kama unataka kwnda kuwekeza huko,