mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Wanaonyesha SSP6, kuna mapambano ya awali mwengi sana, mpaka sasa bado alijaanzaMbona hakuna updates? Mwenye access atupatie naona DSTV kwangu wamezingua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooghh kwangu nimelipia kifurushi kidogo! OK no worries. Nimepata YouTube Ila nao wanaonyesha kwa mapozi kweli halafu sijuin wanaongea lugha ganiWanaonyesha SSP6, kuna mapambano ya awali mwengi sana, mpaka sasa bado alijaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi wanapigana kina mamaOoghh kwangu nimelipia kifurushi kidogo! OK no worries. Nimepata YouTube Ila nao wanaonyesha kwa mapozi kweli halafu sijuin wanaongea lugha gani
Naona YouTube nao wamezingua kabisaSasa hivi wanapigana kina mama
Pambano lina ma'star wengi, hollywood actors, musician, Conor ana fans base kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano linataka kuanza muda wowote kuanzia sasa, utangulizi wote wamemalizaNaona YouTube nao wamezingua kabisa
Nipo hapa nasubiria updates MkuuPambano linataka kuanza muda wowote kuanzia sasa, utangulizi wote wamemaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Cowboy kashaingia ulingoni, tunamsubir conorNipo hapa nasubiria updates Mkuu
Nimepata YouTube naona imeondolewa piaNipo hapa nasubiria updates Mkuu
Conor anasema kabadili fighting technic na alianza kwa kasi ili aweke recordGemu imeisha!/duh