Conscientize ya Rais Magufuli ni kitu gani?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kumbe mkuu ni hodari kwa terminology nimemskia sana akitamka hili neno nisijue maana yake nikahisi limekosewa kumbe ni neno sahihi kabisa. Hongera mkulu.
 
Mkuu anatisha kwa vocabularies lakini grammar vipi?
 
Elimisha..toa wazo kuhusu kitu fulani..kwani Ras Simba bado yupo hapo Bongo? hah hah hah
 
Kumbe mkuu ni hodari kwa terminology nimemskia sana akitamka hili neno nisijue maana yake nikahisi limekosewa kumbe ni neno sahihi kabisa. Hongera mkulu.
Hapo umelikosea au kakosea yeye, ni neno gani hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…