Conspiracy kuhusu project Blue Beam

Eeeh bwana hivii tamthilia itakuwa ya kusisimua sana ... sitaki niikose,maana itafanya watu wakeshe miskitin na makanisani kumpokea bwana wao.. ila wasisahau kutuletea na sisi huku mwanza hiyo hologram ya mwanamalundi
 
Mpwa ukijibiwa tafadhali nishtue maana naona kama kuna upendeleo wengine wametengwa.
Kumbe watatuletea wote bwana... hapo itakua imekakaa vizuri.
Alafu jana usiku nilipoangalia kwenye mwezi niliona kuna watu wanagombana kweli hadi vumbi inaruka juu, sijui kulikuwa nanini huko... au ndio hiyo hologram yao?
 
Eeeh bwana hivii tamthilia itakuwa ya kusisimua sana ... sitaki niikose,maana itafanya watu wakeshe miskitin na makanisani kumpokea bwana wao.. ila wasisahau kutuletea na sisi huku mwanza hiyo hologram ya mwanamalundi
Hahahaha
Eti Hologram ya Mwanamalundi

Mkuu hakuna sehemu itakayo Achwa,Hata Hologram ya kibwetele itakuwepo
Usikose Bonge la show Hilo.

Sipati picha walokole watakavyofurahi,
Sijui itakuwa hivi;

'Oh lobobobobo,oh shindalabababasika,Yesu kaja kutuchukua...Halleluyah'
Kumbe wapi.
 
takbiriiii....
 
Postulates
 
cku hizi ukitaka kuwaaminisha watu kitu cha ajabu ajabu we wambie kimefanywa na NASA au CIA,au agency yeyote ile iliopo marekani
 
Blue beam walikuwa na kiongozi wamepanga aongoze dunia.Halafu wangeweka picha za Yesu.Budha,viongozi wa dini zote.Halafu hizi picha zingeungana na kuwa sura ya mtu mmoja,ambaye ndie angeitwa kiongozi wa dunia.
 
Sasa kwa watu wanaokaa sehemu moja lakini wana imani tofauti je wataonaje onaje, mfano muislamu na mkristo kwa pamoja wakiwa sehemu moja kwa muda huo huo wanaangalia angani ?
 
Muhammad hana picha wala yesu hana picha so labda watunge tu
 
Telepathy technology that means inahitajika microcheap hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…