Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Katika hali ya kawaida serikali mbalimbali duniani pamoja na their intelligent agencies zina conspiracies ambazo zina lengo la kuifanya serikali husika kupata faida over other governments, kumanipulate/kucontrol serikali zingine, kutawala, kumiliki uchumi, silaha, teknolojia au kuwa na nguvu au kuwa superior kwa namna yoyote ile.
Mfano wa conspiracies ni kama: List of conspiracy theories - Wikipedia, the free encyclopedia.
Swali langu ni kwamba serikali yetu ya Tanzania nayo inayo au inaweza kuwa na conspiracy ambayo lengo lake ni kulifanya taifa letu kuwa superior over other nations baadaye au mapema hivi karibuni?