Conspiratorial view of history

Conspiratorial view of history

anatori

Member
Joined
Feb 16, 2022
Posts
5
Reaction score
3
Huu ni mtazamo wa kihistoria ambavyo watu wakubwa na wenyewe ushawishi katika jamii ikiwemo viongozi wa serikari, jinsi ambavyo wanaungana kufanya njama(conspiracy) ya kuwanufaisha wao lakini yenye madhara makubwa kwa jamii.

Kwa sababu ya upofu wa jamii kuhusu matukio ya gizan ya viongozi wao wanaaminishwa kwamba matukio hayo yanatokea kama ajali tu na hakuna mtu yeyote anaepaswa kuajibishwa(accidental view of history).

haya yote yameandikwa katika kitabu kinachoitwa Unseen hand cha ralph epperson ukipata muda kakisome japo kidogo.hautaujutia muda wako.

download%20(4).jpg
 
Anatori,

What a coincidence.

Nimeandika kitabu: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London 1998.

Kitabu hiki kina sehemu tatu na hii sehemu ya tatu ambayo ndiyo ya mwisho "heading" yake ni: "Conspiracy Against Islam.'

Mwisho ninapohitimisha kitabu ninapowaeleza na kuwataja wahusika wa njama kuna sentensi nimeandika maneno haya: "the unseen hand."
 
ningetamani pia kukisoma hicho kitabu japo in brief
 
ningetamani pia kukisoma hicho kitabu japo in brief
Anatori,
Kitabu hiki kinauzwa Ibn Hazm Media Center bei elfu kumi kurasa 416.

Maduka yao yapo Msikiti wa Mtoro, Manyema, Kichangani na Mtambani.
 
Back
Top Bottom