Ndugu zangu nimepewa dawa za kutibu tatizo nililoaambiwa ni AMIBA...lakini nadhani katika moja ya dawa nilizopewa ni za kuzuia kuendesha jambo ambalo kwa kweli linanipelekea kupata choo kigumu sana ( constipation) sasa nashindwa kuelewa ni dawa ipi kati ya hizi ni nisiitumie lakini tatizo langu la amiba liondoke.