CONSTITUTIONAL REVIEW: retired Judge WARIOBA assists SIR KAHAMA... down the MEMORY LINE!!!

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
AKAHAMA.JPG

Warioba assists Kahama

The Chairman of the Constitutional Review Commission
(CRC), retired Judge Joseph Warioba (right), assists veteran
politician, Sir George Kahama, walk down the stairs of the
CRC Hall after the latter presented his views on the new
constitution in Dar es Salaam. (Photo courtesy of CRC)
 
Walishindwa tengeneza katiba safi wakati wa ujana wao leo yamewashinda wanataka kututengenezea katiba mbovu. Eti Tanzania nchi changa Rais asipunguziwe madaraka. Katiba sasa iundwe na vijana ambao tuko wengi na wazee watupishe.
 
Wakati ni huu mkuu Nathan, vipi ushatoa maoni yako?
BTW naona bazee wanajikongoja, nice shot mpiga picha. This will go down memory lane in future.
 
Last edited by a moderator:

Una uhakika ushirika aliua Sir G. Kahama?.mbona tunasikia ndivyo vilvyompeleka shule hadi akawa waziri. Kama aliviua yeye nani anakumbuka muundo wa zamani ambao ndio tunaoutaka
 
Back
Top Bottom