Walishindwa tengeneza katiba safi wakati wa ujana wao leo yamewashinda wanataka kututengenezea katiba mbovu. Eti Tanzania nchi changa Rais asipunguziwe madaraka. Katiba sasa iundwe na vijana ambao tuko wengi na wazee watupishe.