Construction company

majiyashingo

Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
44
Reaction score
2
Jamvini Oyee
Jamani msaada kidogo hivi mnaweza kuniambia Process za kuanzisha Construction company mpaka kupata license na kiasi gani inaweza kughalimu

Kwa kifupi kampuni yangu nataka Real estate development and costruction

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Nafikiri unaweza kuanzia pale bodi ya usajiri makandarasi na site yao ni www.crbtz.org ili ujue what you need lakini sajiri kampuni yako kwanza pale BRELA.
 
mkuu kikubwa ni mtaji wa kuanzia kazi na kuweka idara imara ya kuongoza kampuni . haya ya usajili ni madogo tu ikiwa unmeamuwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…