Construction of Sh17bn Western bypass set to start

Safi sana..
sasa ningelitaka washugulikie ile story ya commuter na tram ndio tuwazike kibsa hawa mafala wa bongo.
Mafala wewe na mjomba wako uwe na heshima kijana nyambavu kabisa nyanga'u will always be nyang'au.
 
Mkimaliza hili
Malizeni na ukabila wenu
 
Manyang'au buana,we dont bother with your plans/projects.TZN ina interests zake za uchumi kwa maslahi ya watu wake so tutapanga,tutatekeleza na ku operate kile chenye manufaa kwetu at a right time,panapobidi kushindana tutashindana ili tushinde hasa areas ambazo tuna comperative advantage kama kwenye transport&logistics business,geographical position inatufeva ndio maana we are leaders in that venture across east,central Africa and SADC.Wakenya endeleeni kujenga magorofa hapo nairobi
 
Mwazidi kujimwayamwaya na sherehe za kigamboni wakati sisi tulijenga Nyali Bridge kitambo!Na pia tumo ndani ya mikakati ya kujenga Nyali ya pili pamoja na Likoni....eeh,kanionyeshe a super highway ndani ya Dar es salama,Kanipe picha halisi ya Bypass hata moja mjini Dar.Hayo mabasi mnayoisifia sisi kwetu mfumo huo hauna uhalisia manake mipango ya mtambo mpya wa Tram system,reli jipya kabisa umeshika kasi hapa Nairobi.
 
Manyang'au buana,we dont bother with your plans/projects.TZN ina interests zake za uchumi kwa maslahi ya watu wake so tutapanga,tutatekeleza na ku operate kile chenye manufaa kwetu at a right time,panapobidi kushindana tutashindana ili tushinde hasa areas ambazo tuna comperative advantage kama kwenye transport&logistics business,geographical position inatufeva ndio maana we are leaders in that venture across east,central Africa and SADC.Wakenya endeleeni kujenga magorofa hapo nairobi

Pwaha,eti leader in what?zidi kuota ndoto za mchana we usojua maropokworopokwo kutoka kinywani mwako manake hata Kigamboni iliyowapa si kiwewe,si karaha soon tutaiweka kwenye tupwatupwa.
 
Keep this Thread alive..post the renders when they come out..
 
Geographical position inawapa favor, lakini nyie hamna ufanisi, hivyo inabidi tunawashinda kwa kila kitu. Rejelea takwimu za bandari baina yetu. Kagame aliomba mumkabidhi hiyo bandari, atawalea na kuwalisha kila siku bila kutegemea kitu kingine chochote kama madini vile.
 
Manyang'au onyang' okonkwo naona mnabwata tuu,nasisitiza TZN ndio vinara wa biashara ya logistics and transportation,zaidi ya nusu ya cargo trucks kwa east,central africa na SADC ni za watanzania hutaki andamaneni na kazaneni kuhangaika wee na viproject vya kujitutumua sie tunakuja taratibu huku mnazidi kupata pressure ya kupitwa
 
aisee...hivi ndo mnajifariji sio.nyi kutupita halitatokea.mwapiga kelele ati mwaamka wakati sisi twakimbia.mark my words tutakua hapahapa jf miaka kumi ijayo God willing mkiimba ivyo tu.Sasa hii ya cargo ulidanganywa na nani?
 
This guy!!!!...... Do you know what a bypass is??
 
THIS JUST IN

The ksh17.3billion entails cost of feasibility studies,design,construction of a four-lane highway measuring 16.5km,construction of service roads on both sides totalling 17.37km and construction of four interchanges and underpasses.
 
I can't wait to see the renders for this eight-lane road
 
can someone please shut this guy up with stats..... or mwamuacha aji enjoy?
 
can someone please shut this guy up with stats..... or mwamuacha aji enjoy?
JamiiForums has a good moderation team.

Click on REPORT and a moderator will take care of the case.

EDIT: Looks like you are OK with the language used and would like one to counter the argument with stats
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…