Consultancy: House Design and Estimates

Bavuvi

Member
Joined
Mar 1, 2008
Posts
41
Reaction score
4
Nahitaji mtu atakayeweza design nyumba bedrooms 4 kwenye plot ya 25*38 Dodoma.
Mwenye uwezo tafadhali wasiliana nami.
 
Yes just PM me bei zangu ni laki 3.5 house design pamoja na estimates; kwa dodoma kama unahitaji material nitakupatia kwa mkopo wa mwezi moja moja kwa bei 20% less than the market price ya hapo dodoma. Namba ya cmu unitumie pia. Yeyote mwenye eneo dodma and need the same service am in this business for them.
 
ndugu huo mradi ni nyumba kama ngapi unaohitaji kuanzishia mradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…