Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,925
Ninatoa consultation kwa wale wanaoandika thesis/dissertation kuanzia Bachelor na Master degrees katika masomo ya arts. Consultation hizo zinafanyika kwa internet na simu, hivyo huduma hii hupatikana kwa mtu yeyote yule popote pale alipo. Lugha inayotumika ni Kiingereza. Kwa wale wenye nia wani PM kwa maelezo zaidi na kuhusu wasifa wangu.
Nawatakia wote siku njema.
Nawatakia wote siku njema.