Consultation kwa wanaoandika thesis/dissertation za degree Bachelor na Master (Arts)

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Ninatoa consultation kwa wale wanaoandika thesis/dissertation kuanzia Bachelor na Master degrees katika masomo ya arts. Consultation hizo zinafanyika kwa internet na simu, hivyo huduma hii hupatikana kwa mtu yeyote yule popote pale alipo. Lugha inayotumika ni Kiingereza. Kwa wale wenye nia wani PM kwa maelezo zaidi na kuhusu wasifa wangu.

Nawatakia wote siku njema.
 

Mkuu nimekutumia PM. Check inbox yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…