Consumer Watch LPG Cooking Gas

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
551
Reaction score
249
Makampuni ya kuuza gas yanazidi kuongezeka lakini baado bei iko juu kutokana na kipato cha mwananchi.

Ni kama vile makampuni ya mafuta yamechungulia issue kwenye biashara ya gasi ya kupikia.
 
Mihan, Lake Gas, Oryx, Alpha 1, Alpha .... mmmmhhhhh

Sijui natural gas itakuwaje?

Hivi NG (Natural Gas) itawekwa kwenye mitungu hii hii .... au je hizi burners tunazitumia zinaweza kutumia NG
 
Hapa sina cha kuchangia maana mie zangu ni kuni au majiko ya maranda kama ya wapika chips!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…