Nashukuru sana mdau kwa ushauri wako muhimu,kifupu nawaitaji hr officers kwa mahusiano ya kazi tu,nimefungua human resource consultancy firm,inayoshugulika na consultancy,training na recruitment.wadau hao niliwataja ni muhimu sana katika kufanikisha utendaji na ufanisi wa shuguli zangu asante!