Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Dah kweli bhana nimecheki nmeona namba nyingi ambazo sikua nazo lakin zimejisave sasa nani kanitumia hili filehilo file litakuwa na contact za watu hivyo tayari zishajisave kwenye email hata ukiangalia kwenye contact zako utaona namba ngeni zimejisave
email haina jina kwan hizo issue wanafanyaga wale wa save for save ili kupata wateja au na kusanya network marketingDah kweli bhana nimecheki nmeona namba nyingi ambazo sikua nazo lakin zimejisave sasa nani kanitumia hili file
Daah sijui kwann nililifungua hili filemkuu uchawi upo, oohooo!
Email inayo jina imeandikwa mwanahawa nyangeemail haina jina kwan hizo issue wanafanyaga wale wa save for save ili kupata wateja au na kusanya network marketing
huyo atakuwa mdogo wake na mondEmail inayo jina imeandikwa mwanahawa nyange
Kama ni mtu ambaye humjui kuwa makini Na matapeli. Kma hio email Ume sign in na simu ina maana hizo namba tayari umeshazi synchronize na simu tYari.Habari za muda jamani,
Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing vCard contact .vcf.
Sasa je hili file lina kazi gani?
Ni nani anahusika na kutuma mafile haya? Maana alienitumia hata simjui
Je, hii haiwezi kuwa mbinu ya wezi kutaka ku-hack na kuiba fedha katika sim card yangu?
Naomba anaefahamu hili anijuze
Nimeshalifuta tayari ktk documents na zile namba tayari nmezifutaKama ni mtu ambaye humjui kuwa makini Na matapeli. Kma hio email Ume sign in na simu ina maana hizo namba tayari umeshazi synchronize na simu tYari.
Kwa kuanza save hilo file mahala pengine kisha lifungue na excel ama program yoyote ifananiayo kisha utaona majina na namba zote zinazo associate na hilo file la contacts.
Duuh hatari kweli sijui nifanyeje ila Hilo file na namba zote nimezifutaumefanya kosa kuifungua, kuna uwezekano tayari aliyetuma ameishapata kila kitu kwenye simu yako. Next time usipende kufunguafungua vitu ambavyo hujaomba kutumiwa, au kutoka kwa mtu usiyemfahamu
Namba umezifutaje ? Simu yako ni mpya?Duuh hatari kweli sijui nifanyeje ila Hilo file na namba zote nimezifuta
Pia huenda aliyekutumia anataka namba yake iji save kwenye simu yako ili aweze kua access baadhi ya vitu ambavyo kama hujamsave hawezi kuviona, mfano WhatsApp status, Profile pic kwenye WhatsApp, Telegram yako.. Sasa kwa sababu umelifungua kabla hujatuuliza cha muhimu fuatilia namba ambazo huzijuii zifuteeee.Habari za muda jamani,
Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing vCard contact .vcf.
Sasa je hili file lina kazi gani?
Ni nani anahusika na kutuma mafile haya? Maana alienitumia hata simjui
Je, hii haiwezi kuwa mbinu ya wezi kutaka ku-hack na kuiba fedha katika sim card yangu?
Naomba anaefahamu hili anijuze
Nimezifuta tu kawaida, ingawa zilijisave kwenye phone na si kwenyw emailNamba umezifutaje ? Simu yako ni mpya?