Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
wewe unazo?Hujui matumizi ya internet..kwa kusaidia kidogo nenda kwenye wesite yao kuna contact info....acha kubweteka!
wewe unazo?
Hujui matumizi ya internet..kwa kukusaidia kidogo nenda kwenye website yao kuna contact info....acha kubweteka!
tehe tehe shem si unajua eti anakomwa nyani giladi.....Shem Yo Yo JF inachekesha sana, nimeona kwenye post moja wanakupa umaarufu wa kutoa pumba hapa kwenye Forum, nimecheka sana umechanganywa na wazee wengine duu...Kazi kweli kweli!
Tayari nimezipata za mtu wa Tigo.. sijui za Zantel au Zain
Za vodacom je?
nashukuru nimepata zile contacts. Hizo za HITS, DOVETEL na TTCL nazo nikitumiwa nitashukuru za Vodacoma wakae nazo wenyewe!