Contact za Musa Mohamed

MNDEE

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2009
Posts
491
Reaction score
68
Wanajamvi nitashukuru kama mtanisaidia nipate contact za kijana anaitwa Musa Mohamed ni mwanafunzi sekondari ya Gongo la Mboto form one. Nimeona picha yake Ipp Media site leo.
 
Wanajamvi nitashukuru kama mtanisaidia nipate contact za kijana anaitwa Musa Mohamed ni mwanafunzi sekondari ya Gongo la Mboto form one. Nimeona picha yake Ipp Media site leo.

IPP wanaweza kukusaidia zaidi nadhani!

Tel: +255-22-2700735/7
Fax:+255-22-2700146
Email: info@guardian.co.tz
 
IPP wanaweza kukusaidia zaidi nadhani!

Tel: +255-22-2700735/7
Fax:+255-22-2700146
Email: info@guardian.co.tz

Masanilo, huyu fotografa alipita tu huko wanakochimba kokoto akamuona kijana anapiga mziko akampiga picha. Kama kuna mdau ni mwalimu pale, au yuko jirani na shule anaweza kunisaidi. Ikishindkana nitatumia namba ulizonipatia. Thanks.
 
Masanilo, huyu fotografa alipita tu huko wanakochimba kokoto akamuona kijana anapiga mziko akampiga picha. Kama kuna mdau ni mwalimu pale, au yuko jirani na shule anaweza kunisaidi. Ikishindkana nitatumia namba ulizonipatia. Thanks.

Mh Mndee H

Walimu choka mbaya unafikiri wanaweza poteza 1000 kwa cafe kuja login JF! Kwenye hii forum watu wapo sehemu mbali mbali duniani...wengine tupo kwenye kampeni Kyela, msaada ni kidogo sana...lakini ukiwasiliana na ipp na kama una nia njema lazima watafanya liwezekanalo wakupe hata namba ya mwalimu. Wao wapo kwenye grounds...! Umenisoma?
 

Kampeni zaendaje mkuu
 
Hali bado ni tete naona Mafisadi wanataka kumtoa Mpiganaji ....inshalaah Mungu yupo watachemka tu. WanaKyela si mabwege
mzee kampeni gani hizo? mi mwenyewe mwanakyela lakini sijapata picha, hivi msanii mwakalinga upepo unaendaje? mimi nitakuja kuupima december maana namuona anaenda pupa sana. Sasa we uko wapi ni neutral au uko kwa mpiganaji ? na yule diwani wa darasa la pili yuko kambi gani? ameishaachana na mwakipesile amehamia kwa mwakalinga? huyo ndio saizi ya vijana kwanini tusimtoe?wasalimie mbugani street.
 
MNDEE, Jaribu kumtafuta mtu anayeitwa Omari Ngaromba,Ni CEO wa NGO inayojulikana kama Guluka Kwalala Youth Environment Group Organization,pamoja na shughuli nyingine NGO hiyo imejisajili kwa ajili ya kutoa Elimu na kuinua hali ya maisha ya wananchi katika tarafa ya Ukonga,Shule anayosoma mwanafunzi Mussa Mohamed (Gongo la Mboto Sec.School) ipo katika Tarafa hiyo.

Contact za Ndg Omari Ngaromba ni:
Tels: 22 28 42 824
Mobile: 755 8494/786 063904
Email: glkenv@yahoo.com

Au tembelea www.guluka.org
 
Mndee, nakushauri uwasiliane na IPP MEDIA hasa kama unataka kutoa msaada kwa huyu dogo Mussa Mohamed. Moja ya kazi za media ni kufichua matatizo, kukutanisha mwenye tatizo na mwenye uwezo wa kutatua tatizo. Hivyo IPP watachukua trouble zote kumtafuta huyo dogo, tena wanaweza kukuunganisha naye ofisini kwao.

Hii ya kutafuta kwa namna zingine unaweza kumpata mhusika feki.
 


Mkuu ahsante kwa ushauri.
 

Mkuu wacha nianzie huko IPP kama nilivyoshauriwa toka mwanzo, ikishindikana ndio niwacheki hawa watu.
 

Mkuu ahsante nimekusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…